Wachezaji wa Timu ya Muembemakumbi na KVZ wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar, mchezo uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedung.Timu ya KVZ ikiongoza mchezo huo kwa bao 2-0 uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung mchezo huo haukumalizika kutokana fujo iliyotokea kwa wapenzi wa Timu ya Muembemakumbi kuingia uwanjani












No comments:
Post a Comment