Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, akipata maelezo kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Dodoma Dkt. Ibenzi Ernest (kulia kwake) alipotembelea Hospitali ya Rufaa Mkoa Dodoma Novemba 25, 2025. Kushito kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule na kulia ni Mkuu wa Wilaya Dodoma Alhaji Jabir Shekimweri. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
WAZIRI MKUU ATEMBELEA HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA DODOMA
-
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, akipata maelezo kutoka kwa
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Dodoma Dkt. Ibenzi Ernest
(kulia kwak...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment