Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ 2025/2026 Kati ya Malindi na Mlandege Mchezo Uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong Timu ya Mlandege Imeshida Bao 3-0

 

Mchezaji wa Timu ya Mlandege Aimar Hafidh Abuba akiipatia Timu yake bao la pili katika mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ 2025.2026 mchezo uliyofanyika katika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar. Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa bao 3-0.























No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.