Habari za Punde

Ujumbe wa Wataalam kutoka Jimbo la Nanjing,Ch​ina wakuta​na na Rais, Dk Shein


 Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Ujumbe wa Wataalam kutoka  Idara ya Afya ya Jimbo la Nanjing,nchini China,waliofika Ikulu
Mjini Zanzibar,wakiongozwa na Kiongozi wao Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Afya Wang Hua,(wa pili kulia).
Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akiwa katika picha na Ujumbe wa Wataalam kutoka  Idara ya Afya ya Jimbo la Nanjing, nchini China,waliofika Ikulu Mjini Zanzibar,leo asubuhi.
 
[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.