Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud , akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia Tanzania Mhe. John Mngondo, alipowasilikatika viwanja vya Posta Kijangwani kuhudhuria uzinduzi wa StempMpya ya miaka 50 ya Mapinduzi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud , akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Posta Tanzania Mhe.Yamungu Kayandabila, alipowasilikatika viwanja vya Posta Kijangwani kuhudhuria uzinduzi wa StempMpya ya miaka 50 ya Mapinduzi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohammed Aboud Mohammed,kulia kwa Waziri Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania Bwa. Yamungu Kayandabila na kushoto kwa Waziri Naibu Katibu Mkuu wa MawasilianoTanzania Bwa. John Mngondo na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Dkt. Khalid Mohammed, wakimsindikiza Waziri kuzindua Stemp Mpya na Kituo cha Mawasiliano kwa Jamii Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud, akikata utepe kuashiria kuzindua Stemp Mpya ya miaka 50 ya Mapinduzi, kulia Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia Tanzania Bwa. John Mngondo na kushoto Meneja Mkaazi wa Posta Zanzibar na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Posta Tanzania Bwa. Yamungu Kayandabile.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, akimsikiliza Posta Master Mkuu Tanzania Bwa. Deos Hamis Mndeme, akitowa maelezo ya Stemp Mpya kwa Waziri baada ya kuizindua Stemphiyo katika viwanja vya Jengo la Posta Kijangwani Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, akikata utepe kuashiria kukizindua Kituo cha Mawasiliano kwa Jamii katika Jengo la Posta Kijangwani,akishuhudia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Posta Tanzania Bwa. Yamingu Kayandabile.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, akimsikiliza Posta Master Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Bwa Does Hamis Mndeme.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, akimsikiliza Posta Master Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Bwa Does Hamis Mndeme.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, akihutubia baada ya kuizundua Stemp Mpya ya miaka 50ya Mapinduzi ya Zanzibar na Kituo cha Mawasiliano kwa Jamii, hala hiyo imefanyika katika viwanja vya Ofisi ya Posta Kijangwani Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia Tanzania Bwa. John Mngondo, akitowa neno la shukrani katika hafla hiyo.
Maofisa wa Shirika la Posta Tanzania na Wageni waalikwa wakifuatilia hafla hiyo katika viwanja vya Ofisi za Posta Kijangwani Zanzibar.
Wafanyakazi wa Posta Zanzibar wakiwa katika viwanja vya sherehe
Viongozi wa meza kuu wakisikiiza Utenzi wa Uzinduzi wa Kituo cha Mawasiliani kwa Jamii na Stemp Mpya ya Miaka 50 ya Mapinduzi.
No comments:
Post a Comment