Habari za Punde

Kutoka Baraza la Wawakilishi kuchangia Mswada wa Hatimiliki ya Ufumbuzi wa Mimea Zanzibar

 Mwakilishi wa Mji Mkongwe Mhe. Jussa Ismail akichangia mswaada huo wakati wa kipindi cha kikao cha cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea kujadili miswaada iliowasilishwa katika Kikao hicho. 
 Mhe. Ismail Jussa akichangia Mswaada wakati wa Kikao cha Baraza la Wawakilishi. kikiwa katika Kikao chake cha Kawaida 
 Watendaji wa Wizara ya Kilimo Zanzibar wakifuatilia michango iliokuwa ikiwasilishwa na Wajumbe wa Baraza wakati wa kuchangia Mswaada wa Hati Miliki ya Ufumbuzi wa Mimea Zanzibar.
 Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Juma Duni na Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko, wakibadilishana mawazo wakati wa kikao cha baraza kikiendelea kuchangia mswada waWizara yaKilimo kuhusu hati miliki yaUfumbuzi wa Mimea Zanzibar.
 Mwakilishi wa Jimbo la Kitope Mhe. Makame Mshimba, akichangia mswada huo uliowakilishwa katika Kikao cha Baraza la Wawakilishi kuuchangia na kuupitisha kuwa Sheria.
 Kaimu wa Wizara ya Kilimo Mhe. Haji Omar Kheri, akifuatilia mswada huo wakati ukichangiwa na  Wajumbe wa Baraza.ulipowakilishwa na kuchangiwa katika Kikao cha Baraza.
 Mkalimali wa kutafsiri Lugha kwa vitendo akitowa ishara hiyo kwa Wananchi wenye ulemavu wa kutosikia
                    Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Mhe. Salmin Awadhi, akichangia mswada huo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.