Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt Salmin Amour alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Zanzibar Jumatatu Januari 13, 2014 baada ya kuhudhuria sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt Salmin Amour alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Zanzibar Jumatatu Januari 13, 2014 baada ya kuhudhuria sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi.
PICHA NA IKULU



Duu huyu mzee (Salmini) ni dhahiri hali yake kiafya sio sawa kama alivyokuwa. Nina wasiwasi na dua za wanyonge wa kizanzibari ambali chini ya utawala wake wa kidhalimu na kiburi kingi, ufedhuli, dharau ya kupita kiasi kwa raia zake mwenyewe ndio matokeo ya hali hii. Hakika MOla ni mwenye kuona na kusikia maombi ya waja wake wenye kudhulumiwa.
ReplyDeleteTanbihi kwa Rais Kikwete: Tafadhali chukua mazingatio kutoka kwa huyo mzee Salmini, ili yasije yakakufika kama ya kwake.