Habari za Punde

Serikali yakabidhi Misaada kwa Wananchi Waliounguliwa na Moto Micheweni Pemba.

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud akiwakabidhi Nguo na Vifaa vwengine Wananchi wa Wilaya ya Micheweni Pemba baada ya kuunguliwa na moto nyumba zao hivi karibuni na kulazimisha zaidi ya Familia kumi na tano kukosa mahali pa kukaa baada ya nyumba zao kuungua moto.Akikabidhi viafaa hivyo kwa wananchi hao huko micheweni   

BAADHI ya wananchi wa shehia ya Shumba mjini wilaya ya Micheweni Pemba, wakielekea kwenye makaazi yao, mara baada ya kukabidhiwa msaada wa magodoro na vifaa vyengine, na waziri wa nchi afisi ya Makamu wa pili Mh: Mohamed Aboud Mohamed kwa niaba ya rais wa Zanzibar (picha na Haji Nassor, Pemba)WANANCHI waliounguliwa moto nyumba zao hivi karibuni, shehi za shumba mjini na Maziwang’ombe wilaya ya Micheweni, wakitafakari jinsi ya kusafirisha msaada wa vitu mbali mbali ikiwa ni pamoja na magodoro, waliokabidhiwa na waziri wa nchi afisi ya Makamu wa pili Mh: Mohamed Aboud Mohamed, kwa niaba ya rais wa Zanzibar (picha na Haji Nassor, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.