Habari za Punde

Unguja ni Njema Atakae Aje.

Mjengo wa Hoteli ya Kitalii unaotarajiwa kuwekezwa katika Visiwa vya Karafuu Zenj na Wawakezaji ili kuzidi kuipamba Zenj katika medali ya Kitalii na kuwa kivutio kwa Wageni wanaotembelea Zanzibar na Vitingiji vyake. Hoteli hii itakapomalizika ujenzi wake itakuwa ni moja ya kivutio kwa wageni ili kufika Zanzibar kujionea mambo ya historia ya Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.