Habari za Punde

Rais Dk.Shein aendelea na Ziara Nchini India

 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) na akipata maelezo kutoka kwa Bunker Roy(katikati) Mwanzilishi wa Chuo kinachofundisha mambo ya ufundi wa aina mbali mbali ikiwemo vifaa vya umeme wa jua katika kijiji cha Tilonia Wilaya ya Ajmer Jimbo la Rajistan Nchni India akiwa katika ziara rasmi na ujumbe wake katika kukuza uhusiani na mashirikiano ya Kijamii.
 Wanafunzi wa kike kutoka nchi mbali mbali wakiwa na mashine ya Umeme unaotumia Jua wanafunzi hao wakiwemo na wanafunzi kutoka Zanzibar katika kisiwa cha Pemba tayari wameweza kujipatia elimu ambayo wanatweza kuwapatia na wenzao watakaporudi nyumbani, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aliweza kujionea wanafunzi wanavufanya kazi zao akiwa katika ziara rasmi nchini India
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na mwenyeji wake katika Chuo cha ufundi wa Mafunzo ya Amali Bunker Roy(wa pili kulia) Mwanzilishi wa Chuo kinachofundisha mambo ya ufundi wa aina mbali mbali ikiwemo vifaa vya umeme wa jua katika kijiji cha Tilonia Wilaya ya Ajmer Jimbo la Rajistan Nchni India akiwa katika ziara rasmi na ujumbe wake katika kukuza uhusiani na mashirikiano ya Kijamii.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na alipofika katika chuo cha ufundi wa mafunzo ya Amali akiwaangalia Wanafunzi kutoka Kisiwani Pemba Kazija Gharib Issa na Fatma Ali Vuai,(kulia) akiwa na ujumbe wake walipofika Kijiji cha TILONIA wialaya ya Ajmer Jimbo la Rajistannchini India katika ziara rasmi ya kukuza uhusiano
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na alipofika katika chuo cha ufundi wa mafunzo ya Amali akiwaangalia Wanafunzi kutoka nchi mbali mbali duniani wanofika kupata mafunzo hayo akiwa na ujumbe wake walipofika Kijiji cha TILONIA wialaya ya Ajmer Jimbo la Rajistannchini India katika ziara rasmi ya kukuza uhusiano.[Picha na Ramadhan Othman India.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.