Habari za Punde

Dkt Shein Aenda Uingereza leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, katika ukumbi wa Mapumziko ya Viongozi VIP   uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karumre Zanzibar,kabla ya kuondoka nchini kuelekea nchini Uingereza kwa safari maalum
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama  Mwanamwema Shein wakiagana na Vingozi mbali mbali na wazee wa Chama katika ukumbi wa Mapumziko ya Viongozi VIP   uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karumre Zanzibar,wakiondika kuelekea nchini leo kwenda Uingereza kwa safari maalum.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.