Mwananchi wa Kijiji cha Makangale Wilaya ya Micheweni Pemba akisomo moja ya toleo la Gazeti laIkulu Zanzibar hutowa taarifa mbalimbali za Maendeleo na Miradi iliozinduliwa na Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Shein.
CAMARTEC YABUNI TEKNOLOJIA MPYA KUINUA SEKTA YA KILIMO NA UFUGAJI
-
Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC) kimeanzisha
mbinu mpya za mafunzo kwa wakulima kuhusu usindikaji wa mazao, ikiwemo
mwani korosho...
8 hours ago
0 Comments