Habari za Punde

Maalim Seif Azungumza na Balozi wa Norway

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Balozi wa Norway nchini, Bibi Hanne Marie Kaarstad aliyefika ofisini kwa Migombani mjini Zanzibar kufanya kwa ajili ya kufanya mazungumzo nayo


Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na Balozi wa Norway nchini, Hanne Marie Kaarstad wakiwa katika mazungumzo huko ofisini kwa Makamu wa Kwanza, Migombani mjini Zanzibar. (Picha na Salmin Said, OMKR).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.