MWANDISHI wa habari wa shirika la Magazeti ya
Serikali kisiwani Pemba Abdi Juma Suleiman, akiuliza swali wakati Jaji mkuu wa
Zanzibar Mhe: Omar Othman Makungu alipokua akizungumza na waandishi wa habari
kisiwani humo hivi karibuni, (Picha na
Haji Nassor, Pemba)
JAJI mkuu wa Zanzibar Mhe: Omar Othman
Makungu akizungumza na waandishi wa habari kisiwani Pemba, hivi karibuni kikao
kilichofanyika wizara ya katiba na sheria mjini Chake Chake, (Picha na Haji Nassor, Pemba)
No comments:
Post a Comment