Habari za Punde

Kampuni ya Azam, Mkombozi wa Usafiri wa Visiwa vya Unguja na Pemba

WANANCHI wa Visiwa vya Pemba na Unguja wakinufaika na huduma ya usafiri kati ya visiwa hivi viwili inayotolewa na Kampuni ya Azam Marine, kupunguza tatizo la usafiri lilikuwa likivikabili visiwa hii na kutowa fursa kwa walanguzi kuuza tiketi kwa bei ya juu. 

Kwa sasa tatizo hilo limeondoka kidogo kama invyoonekana wananchi hawa wakipanda meli hiyo wakielekea kisiwani Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.