Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipomtembelea Rais mstaafu wa Zanzibar , Salmin Amour Juma (Komandoo) nyumnbani kwake Migombani Zanzibar kumjuulia hali baada ya kurudi kutoka matibabu nchini China karibuni.
Waziri Mkuu alikuwepo Zanzibar kwa shughuli zqa kikazi . Picha na Chris mfinanga
No comments:
Post a Comment