Habari za Punde

Makamu wa Rais Mhe.DKT.Bilal, Ashiriki Kuaga Mwili wa Baba wa Mkurugenzi wa Hemia Mchechu leo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha kumbukumbu kufuatia kifo cha Baba wa Mkurugenzi wa NHC Nehemia Mchechu alipofika nyumbani kwake kunduchi Beach jijini Dar es salaam leo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la nyumba  NHC Nehemia Mchechu alipofika nyumbani kwake kunduchi Beach jijini Dar es salaam leo kwa ajili ya kuaga mwili wa Marehemu Baba yake.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana  na Mkurugenzi wa Shirika la nyumba  NHC Nehemia Mchechu nyumbani kwake kunduchi Beach jijini        Dar es salaam leo alipofika kwa ajili ya kwa kuaga mwili wa marehemu Baba yake. (Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.