WAZIRI wa Fedha na Uchumi wa Zanzibar Mhe:Omar
Yussuf Mzee, wa pili kutoka kushoto, watatu ni Afisa Mdhamini Wizar ya Fedha
Pemba Bakari Haji, wakitabasamu na viongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii
Zanzibar, mara baada ya kuridhika na hali ya kiwanja hicho kilivyofikiwa pamoja
na kujaribiwa kwa pembea hizo.(Picha na
Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAZIRI wa Fedha na Uchumi wa Zanzibar Mhe:Omar
Yussuf Mzee, akifunga mkanda mara baada ya kupanda ndege zilizomo ndani ya
kiwanja cha kufurahishia watoto Kibirinzi Chake Chake Pemba, kiwanja hicho
ambacho tayari kimeshakamilika kwa asilimia 95%.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAZIRI wa Fedha na Uchumi wa Zanzibar Mhe:Omar
Yussuf Mzee, akiwa ndani ya Pembea pamoja na Mwenyekiti wa mfuko wa hifadhi ya
Jamii Zanzibar (ZSSF) DK. Suleiman Rshid Mohamed, wakati alipofanya ziara ya
siku moja ya kuangalia maendeleo ya kiwanja hicho.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
PEMBA aina ya wanda alikizunguruka huku viongozi
mbali mbali wa Serikali wakiwemo huko, wakiongozwa na waziri wa Fedha na Uchumi
wa Zanzibar Mhe:Omar Yussuf Mzee.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAZIRI wa Fedha na Uchumi wa Zanzibar Mhe:Omar
Yussuf Mzee, akiendesha kigari, moja ya pemba zilizomo ndani ya kiwanja cha
kufurahishia watoto Tibirinzi kisiwani Pemba, baada ya kukagua pemba hizo na
kuridhika na hatua iliyofikiwa.(Picha na
Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAZIRI wa Fedha na Uchumi wa Zanzibar Mhe:Omar
Yussuf Mzee, akiwa amepanda farasi ni moja ya Pembembea zilizomo ndani ya
kiwanja cha kufurahishia watoto Tibirinzi Chake Chake, kulia kwakwe ni
Mwenyekiti wa mfuko wa hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) DK. Suleiman Rshid
Mohamed, wakati alipofanya ziara ya siku moja ya kuangalia maendeleo ya kiwanja
hicho.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment