Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitimiza wajibu wake wa kupiga kura kwa ajili ya kuchagua Rais, Mbunge, Mwakilishi, na Diwani kwenye kituo cha kupigia kura namba 7 katika Shule ya Sekondari ya Kiembesamaki Zanzibar, kwenye Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaofanyika leo Octoba 25, 2015 Nchini kote. (Picha na OMR)
Kituo cha sheria cha ELAF: Tuelimishe amani, siyo vurugu za uchaguzi
-
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika
Oktoba 29 mwaka huu, Kituo cha Sheria cha Ever...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment