MAFUNDI rangi wakiwa katika hatua za mwisho,
kukamilisha kazi ya upakaji wa rangi katika jingo la Mahakama ya Mkoa wa kusini
Pemba, ambayo imefanyiwa Ukarabati mkubwa mahakama hiyo, pichani mafundi
wakimalizia upakaji wa rangi hiyo.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
SANGU: BODI YA WADHAMINI WCF KUTEKELEZA DIRA 2050
-
Na. OWM-KAM – Dodoma
Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) imetakiwa kuweka
mikakati ya kuanza utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maende...
27 minutes ago
0 Comments