Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Kipanga na KVZ Uwanja wa Amaan Timu hizo Zimetoka sare ya 2--2

 Mshambuliaji wa timu ya KVZ akimpita beki wa Timu ya Kipanga wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar timu hizo zimetoka sare ya bao 2--2.
 Mshambuliaji wa timu ya Kipanga akimpita beki wa Timu ya KVZ.
 Mchezaji wa Timu ya Kipanga na KVZ wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar. 
 Beki wa timu ya KVZ akimzuiya mshambuliaji wa timu ya Kipanga 

 Mshambuliaji wa Timu ya Kipanga akimiliki mpira huku beki wa timu ya KVZ akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo huo.
 Muamuzi wa mchezo huo akiamuru mchezaji wa timu ya KVZ atolewe nje kwa ajili ya kupata matibabu baada ya kuumia akiwa mchezoni.
Kipa wa Timu ya KVZ akiokoa mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar timu hizo zimetoka sare 2--2

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.