Monday, February 22, 2016

Maziko ya Marehemu Abdalla Suleiman Sharif, Pemba

Wananchi mbalimbali kisiwani Pemba wakiupeleka katika makazi yake ya mwisho aliyekuwa Kaimu msaidizi Katibu Mkuu wa ZFA Pemba Marehemu Abdalla Suleiman Sharif. Marehemu amezaliwa 1954 na amezikwa kijijini kwao Mtambwe Uondwe

Picha Na Abdi Suleiman Pemba