Meneja wa MasokowaStarTimes
Tanzania, Bw. Damien Leo (katikati)
akiwaonyeshawaandishiwahabarinambariyasmatikadiyamshindiwadrooyapiliyakujishindia
safari yakwendaUjerumanimwishonimwa wiki jijini Dar es Salaam. Pamojanayenibaloziwakampunihiyokwaupandewachanelinavipindivyamichezo,
MtangazajiwaLuninganaRediowa Clouds Media, Bw. ShaffihDauda (kushoto)
naMkaguzikutokaBodiyaMichezoyaKubahatisha Tanzania, Bw. AbdallaHemedy (kulia)
MtangazajiwaLuninganaRediowa
Clouds Media, Bw. ShaffihDauda (kushoto) ambayepianibaloziwakampunihiyokwaupandewachanelinavipindivyamichezo,
akipiganambariyasimuyamshindialiyepatikanakatikadrooyapiliyakujishindia safari
yakwendaUjerumanimwishonimwa wiki jijini Dar es Salaam.WakiuatiliatukiohilokwamakinikulianiMenejawaMasokowakampunihiyo,
Bw. Damien Leo (kulia) naMkaguzikutokaBodiyaMichezoyaKubahatisha Tanzania, Bw.
AbdallaHemedy (katikati).
Meneja wa Masoko wa
Star Times Tanzania, Bw. Damien Leo katikati) akifuatilia kwa makini mazungumzo kwa njia ya simu baina ya mshindi wa droo ya pili ya kujishindia
safari ya kwenda Ujerumani mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam na Mtangazaji wa Luninga na Redio wa
Clouds Media, Bw. Shaffih Dauda (kushoto), mbaye pia ni balozi wa kampuni hiyo kwa upande wa chaneli na vipindi vya michezo. Akinakili taarifa hizo katikati ni Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania,Bw.
Abdalla Hemedy.
Na Mwandishi Wetu
Watanzania watakiwa kuchangamkia fursa ya kujishindia safari ya kwenda kutazama ‘Live’ moja ya mechi za ligi ya Ujerumani inayotolewa na kampuni ya StarTimes Tanzania.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uchezeshwaji wa droo ya pili ya promosheni hiyo, Meneja wa Masoko wa kampuni hiyo, Bw. Damien amebainisha kuwa tayari mshindi wa kwanza amekwisha patikana na leo hii kama mlivyoshuhudia wa pili amemtangaza.
“Dhumunikubwa la kufanya promosheni hii ni kuwakumbusha wateja wetu kuwa StarTimes imejizatiti katika kuboresha maudhui ya chaneli na vipindi vinavyopatikana katika ving’amuzi vyake.
Kama akiifuatilia kwa ukaribu tumekuwa tukifanya maboresho mara kwa mara ili kukidhi haja ya watazamaji wa kila rika.
Kama akiifuatilia kwa ukaribu tumekuwa tukifanya maboresho mara kwa mara ili kukidhi haja ya watazamaji wa kila rika.
Kwa mwaka uliopita tumejitahidi kwa kiasi kikubwa kuongeza chaneli na vipindi vya michezo mbalimbali kama vile mpirawa miguu, kikapu, tenesi, riadha, kuogelea, mbio zamagari, pikipiki na kadhalika.”Alisema Leo
“Hivyo basi kwa wao kulipia vifurushi vya mwisho wa mwezi au kujiunga na huduma zetu, licha ya kuwa katika nafasi ya kushinda safari hii bali pia wataweza kujionea mazuri tuliyonayo.
Ningependakutoawitokwawatejawetunawatanzaniakwaujumlakujijengeautamaduniwakujaribuvitutofauti,” alisemanakumalizia Bw. Leo, “Tusiwenamazoeayakutazamachanelinavipindivyanyumbanipekeetu, tujaribu na kwa upande wa wenzetu wanafanyanini.
Nina amini vipo vitu vingi vizuri vya kutazama, kujifunza na kuvifanya huku nyumbani na kuleta manufaa kwa jamii yetu.”
Katikadroohiyoyapiliiliyochezeshwamwishonimwa wiki nakampunihiyojijini Dar es Salaam, Bw. Johannes Maluli(53), mkaziwaVingungutinakujishughulishanaudereva, alibahatika kuwa mshindi baada ya namba ya smatikadi yake yaking’amuzi kuibuka miongoni mwa mojawapo yenye bahati.
Akielezea juu ya ushindi huo kwa njia ya simu Bw.Maluli alisema kuwa amepokea habari hiyo kwa furaha kubwa na kuishukuru kampuni ya StarTimes kwa kuja na promosheni hiyo kubwa na aina yake kwa wateja.
“Nashukurusanakupokeahabarihiinjemanapianingependakuwapongezawaandajikwanihilijambokubwasanawanalolifanyakwasisiwatejawao.
Ni ampuni chache zinafanya hivi na hata kama wakifanya huwa wanatoa zawadi za kawaida lakini hii nitofauti. Sitoamini macho yangumpaka pale nitakapoigusaardhiyaUjerumani, hapo sasa ndio nitaamini kuwa StarTimes kuwawalikuwahawatanii.
Ningependakuwatakawatejawenzangunawatanzaniawashirikikatikapromoshenihiikwaninikwelinasiubabaishajinatenaukizingatiavigezonamashartininafuukabisa.”Alihitimisha Bw. Maluli
Mshindihuyowapiliwadrooiliyopewajina la ‘PasuaAngana StarTimes’ alipatikanabaadayakujiunganakifurushi cha mambo ambacho ni shilingi 12,000 katikaking’amuzi cha antenna.
Lakini pia mteja yoyote wa StarTimes anaweza kuibuka mshindi kwa kujiunga na kifurushi chochote kuanzia cha shilingi 5,000/- nakuendeleakwaupandewaving’amuzivyadishina antenna.
Na kwa wateja wapya pindi wajiungapo na huduma za kampuni hiyo wamekuwa wameunganishwa moja kwa moja na droo ya bahati nasibu
No comments:
Post a Comment