Filamu mbili zilizotengenezwa na mtengeneza filamu kutoka Uingereza, Andy Jones, zinatarajiwa kuzinduliwa rasmi tarehe 17/04/2016 katika maadhimisho ya siku aliyofariki Bi Kidude katika ukumbi wa Zan Cinema.
Filamu zenyewe ni 'As old as my tongue' na 'I shot Bi Kidude' Katika siku ya uzinduzi muimbaji aliyeingia katika muziki kutokana na na kupendezwa na Bi Kidude, Mim Suleiman pia atatumbuiza siku hiyo
Mtengeneza filamu hii pia , Any Jones atakuwepo katika siku ya uzinduzi .
No comments:
Post a Comment