Habari za Punde

Mgombea nafasi ya Uspika, Zubeir Ali Maulid achukua fomu leo

 KATIBU wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Dkt. Yahya Khamis Hamad (kushoto) akisalimiana na Mgombea uspika kutoka Chama cha Mapinduzi CCM, Zubeir Ali Maulid wakati alipofika Ofisi za Baraza Chukwani kuchukua fomu.
KATIBU wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Dkt. Yahya Khamis Hamad (kushoto) leo akimkabidhi fomu ya kugombea uspika, mgombea wa nafasi hiyo kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM), Zubeir Ali Maulid , ambapo uchaguzi wa spika unatarajiwa kufanyika tarehe Machi 30 , 2016, fomu hiyo alikabidhiwa katika ofisi ya katibu wa baraza Chukwani. 
Mgombea uspika kutoka Chama cha Mapinduzi CCM, Zubeir Ali Maulid akizungumza na wanahabari baada ya kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Uspika kupitia Chama cha Mapinduzi.

Picha na Himid Choko, BLW

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.