TBS YAZINDUA MPANGO MADHUBUTI WA KUKABILIANA NA CHAKULA HATARISHI
-
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe, amezindua rasmi
Mpango wa Kitaifa wa Kukabiliana na Dharura zitokanazo na Chakula Kisicho
Salama, h...
14 minutes ago
Haah! jamani, kweli Z'bar yetu "imechoka" sijui ni kwasababu za siasa au ni mitazamo ya watu...sijui!
ReplyDeleteHivi kweli msanii kama Bi Fauzia Abdallah anafariki, tunashindwa kupata hata wasfu wake? au picha?
Tunaishia kukopi taarifa kutoka kwa watu wengine? lakini cha kushangaza gazeti letu pekee tunalolitegemea na ambalo inatakiwa lihudumie watu takriban 1200,000 utalikuta kimesheheni taarifa za Bara ambako kuna magazeti na wandishi wengi mahiri huku ya kwetu tunayaacha!