MATANGAZO MADOGO MADOGO

Thursday, August 18, 2016

Vijana wanapoamua kukimbia eneo la tukio


VIJANA waliokuwa wakiendesha vespa ambayo haina namba za usajili, wakikimbia muda mfupi baada ya kumgonga mwenye baiskeli, eneo la Miembeni Chakechake Pemba, kama walivyokutwa na mpiga picha wetu Haji Nassor, Pemba wa Pemba.