Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Afanya Ziara Wilaya ya Kati Unguja Leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi Mfuko wa Barabara katika Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Nd,Ali Tahir wakati alipokuwa akiangalia mashine ya kuwekea lami barabarani ambayo imeharibika akiwa katika ziara ya siku moja kutembelea barabara ya Jendele-Unguja Ukuu Mkoa wa Kusini Unguja leo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiwauliza masuali Watoto wa Skuli ya Jendele Wilaya ya Kati Unguja leo wakati alipofanya ziara ya siku moja kutembelea barabara ya Jendele-Unguja Ukuu Mkoa wa Kusini Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji  Mhe,Ali Abeid Karume pamoja na Viongozi mbali mbali mara alipowasili Kijiji cha Jendele Wilaya ya Kati Unguja kuangalia maendeleo ya Ujenzi wa  barabara ya Jendele-Unguja Ukuu Mkoa wa Kusini Unguja leo ,inayojengwa na Idara ya Ujenzi ya Mfuko wa Barabara wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na  Viongozi mbali mbali mara alipowasili Kijiji cha Jendele Wilaya ya Kati Unguja leo kuangalia maendeleo ya Ujenzi wa  barabara ya Jendele-Unguja Ukuu Mkoa wa Kusini Unguja,inayojengwa na Idara ya Ujenzi ya Mfuko wa Barabara wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi Mfuko wa Barabara katika Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Nd,Ali Tahir wakati alipokuwa akiangalia mashine ya kuwekea lami barabarani ambayo imeharibika akiwa katika ziara ya siku moja kutembelea barabara ya Jendele-Unguja Ukuu Mkoa wa Kusini Unguja leo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akifuatana na wasaidizi wake na Viongozi mbali mbali wakati alipofanya ziara ya kushtukiza katika maeneo ya kituo cha kurushia matangazo ya masafa ya Kati cha Redio Zanzibar ZBC huko Bungi Miembemingi leo,pia kujionea uchafuzi wa mazingira unaofanyika katika maeneo hay0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Fundi Mkuu wa Mitambo ya ZBC Redio Nd,Ali Aboud (wa pili kushoto)alipotembelea mitambo ya  kurushia matangazo ya masafa ya Kati kiliopo Bungi Miembemingi leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Fundi Mkuu wa Mitambo ya ZBC Redio Nd,Ali Aboud (wa pili kushoto) wakati alipokuwa akiangalia waya maalum wa wa mawasiliano alipotembelea mitambo ya  kurushia matangazo ya masafa ya Kati katika kituo cha Bungi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kuhusu mashine ya kuendeshea mitambo ya Kusaga kokoto na kupika lami kutoka kwa Fundi Mkuu  Mohamed Kombo Mohamed (kulia) wakati alipotembelea  mitambo hiyo huko Kibele Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 20/09/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.