ENEO ambalo mamlaka za wilaya
ya Chakechake Pemba, imeshalitenga kwa ajili ya kuwaweka wafanyabiashara
walioko soko la muda la ‘Katari’ ili wahamie eneo hilo la Michakaini ‘Kuweiti,
ambapo kwa sasa hutumiwa kwa ajili ya mnada wa Ng’ombe pekee, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar PBZ Mchezo Uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedung
Timu ya Muembemakumbi City Imeshinda Bao 2-0- Dhidi ya Timu ya Chipukuzi
-
Mchezaji wa Timu ya Muembemakumbi City akimpita beki wa Timu ya Chipukizi
wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar PBZ mchezo uliyofanyika leo
20-10-...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment