Habari za Punde

Rais Dk Shein akutana na Waziri wa mambo ya ndani ya nchi

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe,Mwigulu  Nchemba wakati alipofika kujitambulisha kwa Rais Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na kulu.]04/10/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe,Mwigulu  Nchemba wakati alipofika kujitambulisha   Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na kulu.]04/10/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.