ZAO la alizeti linalolimwa na wakikundi
cha ushirika cha Wawi Chakechake Pemba, ‘MEO’ likiwa limenawiri, huku
wanaushirika hao wakililia soka la uhakika, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WANAKIKUNDI cha ushirika cha kilimo na upandaji miti cha
Wawi wilaya ya chakechake Pemba, ‘MEO’ wakilifanyia usafi shamba lao la zao la
halizeti lililopo mabonde ya Wawi, (Picha
na Haji Nassor, Pemba).
WANAKIKUNDI cha ushirika cha kilimo na upandaji miti cha
Wawi wilaya ya Chakechake Pemba, wakionyesha zao la alizeti ambalo limeshakuwa
tayari kuvunwa, ingawa wanahofu kubwa ya soko la uhakika, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment