KIKOSI cha timu ya Danger boys inayoshiriki ligi kuu
ya Zanzibar kanda ya Pemba, kikipasha pasha, kabla ya kuivaa timu ya Dogo moro,
kwenye dimba ya Gombani, ambapo mchezo huo ulimalizika kwa kutofungana, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MCHEZAJI wa timu ya Danger boys Omar Abdalla,
(mwenye jezi nyekundu), akimziba kitaalamu mchezaji wa timu ya Dogo moro, Saleh
Othman kwenye mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar, uliopigwa uwanja wa Gombani,
ambapo wanaume hao walishindwa kufungana bao lolote, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MCHEZAJI wa timu ya Danger boys akipiga kichwa kuokoa moja ya hatari zilizoelekezwa langni kwake na timu ya Dogomoro. Mchezo ulimalizika bila ya kufungana. (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment