Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mwakilishi wa Jimbo la Mahonda Unguja Balozi Seif Ali Iddi, akiwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mkutano Nyumba za Wazee Sebleni kuhudhuria Mkutano wa Wawakilishi wa CCM Unguja.
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mlezi wa Umoja wa Wake wa Wawakilishi na Wabunge wa CCM Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Wawakilishi Wanawake alipowasili katika.
Tags
MATUKIO