Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizari ya Afya Nd,Halima Maulid mara alipowasili katika uzinduzi wa majengo mapya ya Wodi ya Kinamama na Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja leo,[Picha na Ikulu.]11/11/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Afya Mhe,Mahmoud Thabit Kombo pamoja na Viongozi wengine mara alipowasili katika uzinduzi wa majengo mapya ya Wodi ya Kinamama na Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja leo,[Picha na Ikulu.]11/11/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Chumba cha kulelea Watoto wachanga wakati alipotembelea majengo mapya ya Wodi ya Kinamama na Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja baada ya uzinduzi rasmi leo,(wa pili kulia) mwakilishi wa Ubalozi wa Uholanzi Teresia Mcha [Picha na Ikulu.]11/11/2016.
Baadhi ya mashine za kulelea watoto wachanga zilizomo katika jengo la watoto na kinamama wajawazito yaliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo, [Picha na Ikulu.]11/11/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea zawadi kutoka kwa Mwakilishi wa Ubalozi wa Uholanzi Teresia Mcha (kulia) katika sherehe ya ufunguzi wa majengo mapya ya Wodi za Kinamama na Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja zilizofanyika leo,majengo hayo yaliyojengwa kwa ufadhili wa Serikali ya Uholanzi na Norway,(kushoto) Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Hauklend Bw.Eivend Hansen [Picha na Ikulu.]11/11/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) wakipata maelezo wakati walipotembelea moja ya Chumba cha Xray katika majengo mapya ya Wodi za Kinamama na Watoto wakati alipotembelea baada ya ufunguzi rasmi wa majengo hayo uliofanyika leo,ambayo yamejengwa kwa ufadhili kuoka Nchini, Uholanzi,Norway na kushirikiana Serikali ya Mapinduzi,[Picha na Ikulu.]11/11/2016.
Vitanda vya kisasa vilivyomo katika moja ya Wodi ya Kinamama katika majengo mapya zikiwemo na wodi za Watoto yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,ambapo yamejengwa kwa ufadhili kutoka nchini Norway,Uholanzi na kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi,[Picha na Ikulu.]11/11/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Muuguzi katika majengo mapya ya Wodi za Kinamama na Watoto Jokha Abdalla Ali wakati alipotembelea baada ya ufunguzi rasmi wa majengo hayo uliofanyika leo,ambapo yamejengwa kwa ufadhili wa Uholanzi,Norway na kushirikiana Serikali ya Mapinduzi,[Picha na Ikulu.]11/11/2016.
Mawaziri wa Wizara mbali mbali pamoja na Wananchi waliohudhuria katika sherehe ya Ufunguzi wa Majengo mapya ya Wodi za Kinamama na Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake leo baada ya ufunguzi rasmi wa majengo hayo, [Picha na Ikulu.]11/11/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi katika ufunguzi wa majengo mapya ya Wodi ya Kinamama na Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja ambayo yamefadhiliwa na Uholanzi na Norway sherehe za ufunguzi zimefanyika leo,[Picha na Ikulu.] 11/11/2016.
No comments:
Post a Comment