Habari za Punde

Waziri Aboud azungumza na wakaazi wa sheia za Wingwi, wilaya ya Micheweni

 AFISA mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Salum Ali Mata, akizungumza na wanakaya masikini wa shehia ya mbili za Wingwi, mara baada ya kutembelea ujenzi wa Tuta la Kuzuwia maji Chumvi lililoko katika bonde la Koowe Wingi.(Picha Abdi Suleiman, EPMBA.)

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Mohamed Aboud Mohamed, akizungumza na wananchi waliomo katika mpango wa kunusuru kaya masikini Shehia mbili za Wingwi Wilaya ya Micheweni Kisiwani Pemba, mara baada ya kutembelea tuta la kuzuwia maji chumvi lenye urefu wa mita 1600.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.))
WANANCHI waliomo kwenye mpango wa kunusuru Kaya Masikini wa Shehia mbili za Wingi Wilaya ya Micheweni, wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Mohamed Aboud Mohamed hayupo pichani wakati alipokuwa akizungumza nao huko Wingiwi.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.