Habari za Punde

Mafunzo kwa maofisa Utumishi wa Taasisi mbali mbali za Serikali kisiwani PembaMkurugenzi Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar , Arusi Masheko Ali, akizungumza na maofisa utumishi na maofisa Mipango wa Wizara na taasisi za Serikali  huko katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari Madungu Pemba. Ofisa Mdhamini Wizara ya nchi,ofisi ya Rais, Sheria, Utumishi wa Umma, Utawala bora Pemba. Massoud Ali Moh'd, akizungumza na Maafisa Utumishi wa Taasisi mbali za Serikali Kisiwani Pemba, huko katika Ukumbi wa Mikutano wa Skuli ya Madungu Pemba.
 Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba, Hemed Suleiman Abdalla, akifunguwa  mafunzo kwa maofisa Utumishi wa Taasisi mbali mbali za Serikali yaliofanyika huko katika ukumbi wa mikutano Skuli ya Madungu Pemba
 Maofisa Utumishi wa taasisi mbali mbali za Serikali Pemba, wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba, Hemed Suleiman Abdalla, wakati akitowa hutuba ya ufunguzi wa mafunzo ya kiutendaji kwa maofisa hao huko katika ukumbi wa Skuli ya Madungu Sekondari Pemba.

Picha na Habiba Zarali -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.