Habari za Punde

Mazungumzo ya pamoja ya Uongozi wa Misri Viongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar


Rais wa Misri, Abdel Fattah El-Sisi katikati na Ujumbe aliofuatana nao wakiwa katika mazungumzo na Viongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiongozwa na Rais Dkt.John Pombe Magufuli leo alipokuwa katika ziara ya siku mbili mazungumzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu ya Jijini Dar es Salaam,[Picha na Ikulu).14/08/2017.

Mazungumzo ya Viongozi baina ya Ujumbe wa Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi (kulia) na Viongozi wa Serikali ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam, Rais Abdel Sisi na Ujumbe wake wakiwa nchini kwa ziara ya siku mbili, [Picha na Ikulu).14/08/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.