Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora Kati ya Timu ya Mwenge na Zimamoto Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Zimamoto Imeshinda 3-1.

Mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto Ibrahim Hilaka akipiga mpira kichwa kuandia bao la kwanza kwa timu yake wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora na Timu ya Mwenge uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hiyo imeshinda kwa mabao 3--1.
Beki wa Timu ya Mwenge akiondoa mpira golini kwake huku mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto akiwa tayari kumzuiya. 
Beki wa Timu ya Mwenge akindoa mpira wakati wa mchezo huo uliofanyika uwanja wa amaan Zanzibar.
Benchi la ufundi la Timu ya Mwenge wakifuatilia mchezo huo wa Ligi Kuu ya Zanzibar na Timu ya Zimamoto uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.