Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika
chumba cha Mkutano kwa ajili ya kuzungumza na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na
Usalama wasasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es
Salaam

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es
Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, Omar Mahita(IGP
Mstaafu), Said Mwema(IGP Mstaafu) pamoja na Ernest Mangu(IGP Mstaafu).

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
ya pamoja na viongozi wasasa na wastaafu wa Magereza Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
ya pamoja na na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na wastaafu
Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya mazungumzo yao.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na aliyekuwa Mkuu wa Jeshi
la Polisi Mstaafu Omar Mahita Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Omar
Mahita(IGP Mstaafu) pamoja na Said Mwema(IGP Mstaafu) Ikulu jijini Dar es
Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na aliyekuwa Mkuu wa Jeshi
la Polisi Mstaafu Omar Mahita Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na aliyekuwa Mkuu wa Jeshi
la Polisi Mstaafu Omar Mahita Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mkono na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) Bw. Cornel Lundu Apson mara baada ya mazungumzo yake na viongozi wastaafu na wa sasa wa vyombo vya Ulinzi na Usalama Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 31, 2017
Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment