Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Azungumza na Meneja wa China Harbour Engineering Company Ltd Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa  akisalimiana na mgeni wake Meneja wa China Harbour Engineering Company Ltd  Nd,Xu Xinpei alipowasili katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo leo,[Picha na Ikulu.] 10/08/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa  akizungumza na  mgeni wake Meneja wa China Harbour Engineering Company Ltd  Nd,Xu Xinpei  wakati alipowasili katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa  akifuatana na mgeni wake   Meneja wa China Harbour Engineering Company Ltd  Nd,Xu Xinpei  baada ya mazungumzo yao wakati alipowasili katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja  leo,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.