Habari za Punde

Hayawi Hayawi Sasa Yamekuwa Ile Ndoa ya Maharusi 11 Yafanyika Katika Kisiwa Cha Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Hawa ndio Mabwanaharusi 11 waliofunga ndoa ya pamoja iliofadhiliwa na Redio Adhana Zanzibar  wa kwanza kulia niJuma Haji Juma,Ali Haji Ali,Bakari Juma Bakari,Seif Makame Bakari,Ngwali Khamis Ngwali,Khatib Makame Kombo,Makame Ngwali Omari,Hamadi Haji Makame,Haji Omari Haji,Othman Khamis Haji,Makame Haji Makame.wote wakaazi wa Tumbatu Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Maharusi 11  waliofunga ndoa ya pamoja iliofadhiliwa na Redio Adhana wakiwa tayari wamekaa kwa ajili ya kufungishwa ndoa hio iliofanyika katika Masjidi Muhammad Tumbatu Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Sheikh wa Tumbatu Uvivini Maalim Ali Sheha Hija kushoto akianza kuwafungisha ndoa Maharusi 11  waliofunga ndoa ya pamoja iliofadhiliwa na Redio Adhana Tumbatu Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Sheikh wa Tumbatu Uvivini Maalim Ali Sheha Hija akitoa mawaidha ya makaribisho kwa wageni mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya Maharusi 11 waliofunga ndoa ya pamoja iliofadhiliwa na Redio Adhana Tumbatu Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Mjumbe wa Baraza la Maulamaa Zanzibar Sheikh Khamis Abdulhamid akitoa mawaidha ya Umuhimu wa Ndoa katika hafla  ya Maharusi 11 waliofunga ndoa ya pamoja iliofadhiliwa na Redio Adhana Tumbatu Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Sheikh Shaharani Musa Jongo akitoa nasaha za kudumisha ndoa  katika hafla  ya Maharusi 11 waliofunga ndoa ya pamoja iliofadhiliwa na Redio Adhana Tumbatu Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Mgeni Rasmi Kadhi wa Wilaya kusini Unguja Sheikh Abubakar Ali akitoa mawaidha ya Pongezi na Nasaha katika hafla ya Maharusi 11  waliofunga ndoa ya pamoja iliofadhiliwa na Redio Adhana Tumbatu Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja.(Picha na Yussuf Simai - Maelezo )

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.