Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson (wa tatu kulia) akimkabidhi funguo ya Pikipiki Kiongozi wa Kundi la Ngoma la Kannengwa Rungwe, Nolbert Mwandinga, baada ya kundi lake kuibuka mshindi wa kwanza katika kundi la Ingoma Kituli, wakati wa hafla ya kutoa zawadi kwa washindi wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililomalizika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya. Katika Tamasha hilo jumla ya washindi 10 wa kwanza kutoka kila kundi walizawadiwa Pikipiki. Picha na Muhidin Sufiani
Serikali yafurahishwa na taaluma St Anne Marie Academy he
-
Na Mwandishi Wetu
SERIKALI imempongeza Mkurugenzi wa shule ya St Anne Marie Academy ya Mbezi
Kimara kwa Msuguri jijini Dar es Salaam, Dk Jasson Rweikiza kw...
29 minutes ago
No comments:
Post a Comment