Habari za Punde

Ujumbe wa UNICEF Watembelea Kijiji cha Kojani Pemba.

Ofisa Maji, na Usafi wa mazingira kutoka Shirika la UNCEF Tanzania,Marko J. Msambazi, akielezea dhamira ya shirika hilo kufanya ziara ya kutembelea kisiwa cha Kojani kuangalia maendeleo ya miradi walioifadhili mbele ya Katibu Tawala Wilaya ndogo ya Kojani, masheha wa Kisiwa hicho na wananchi wengine..
Makamo mkuu wa Shirika la UNICEF Tanzania , Ranie Van Dangen, akikaguwa mradi wa maji safi na Salama katika Kisiwa cha Kojani Pemba,ambao umefadhiliwa na Shirika hilo.
Ujumbe wa UNICEF Tanzania, ukitoka kuangalia mradi wa Vyoo vya Jamii ulifadhiliwa na Shirika hilo.
Ujumbe wa UNICEF Tanzania, ukiangalia Nasary ambayo Wananchi wa Kisiwa cha Kojani wameliomba Shirika hilo kuwajengea ili kuwapa nafasi mzuri watoto ya kujisomea kulingana na msongamano walionao.
Ujumbe wa UNICEF Tanzania, ukiangalia Nasary ambayo Wananchi wa Kisiwa cha Kojani wameliomba Shirika hilo kuwajengea ili kuwapa nafasi mzuri watoto ya kujisomea kulingana na msongamano walionao.
Watoto wa Skuli ya Nasary wa kisiwa cha kojani wakiwa Darasani .
Picha na THUREA GHALIB -PEMBA,

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.