Habari za Punde

Kamati ya Baraza la Wawakilishi Maendeleo ya Wanawake Habari na Utalii Ziarani Pemba

Afisa Mdhamini wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Ndg.Khatib Juma Mjaja akisalimiana na Wajumbe wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake Habari na Utalii walipofika kutembelea Uwanja wa Mpira wa Gombani wakiwa katika ziara ya kikazi kisimwani Pemba. 
Wajumbe wa Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya Maendeleo ya Wanawake Habari na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Ali Suleiman Shihata wakiwa katika ziara yao kisiwani Pemba 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.