Habari za Punde

Mfamasia Mkuu wa Serikali Pemba Awataka Wahitumu Kuyatumia Mafunzo Waliopata Wakiwa Katika Kazi Zao.

Mkuu wa Kituo cha Afya cha Bwagamoyo Mtambwe Pemba,Asha Juma Khamis,akipokea cheti cha utunzaji bora wa madawa katika kituo chake kutoka kwa Mfamasia mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Habibu Ali Sharif
huko katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Wete-Pemba.
 Mkuu wa Kituo cha Afya cha Bogowa Mkanyageni Pemba,Ali Hamran ,akipokea cheti cha Utunzaji bora wa madawa kutoka kwa Mfamasia mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , Habibu Ali Sharif , huko katika
ukumbi wa Wizara ya Afya Pemba.
Mfamasia mkuu  wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , Habibu Ali Sharif, akizungumza na Watendaji wa  baadhi ya Vituo vya afya Pemba, katika hafla ya kuwazawadia vyeti kwa utunzaji bora wa Madawa katika Vituo
vyao.( Picha na Habiba Zarali - Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.