Habari za Punde

Mke wa Balozi Mdogo wa Jamuhuri ya Watu wa China Zanzibar Mama Liu Jie Akabidhi Msaada Kwa Watoto Yatima wa Nyumba ya Mazizini Zanzibar.

WAZIRI wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Mhe. Maudline Cyrus Castico akiwa na Mke wa Balozi Mdogo wa China Bi Liu Jie, akikabidha msaada wa Vifaa Mtoto wa Nyumba ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar Rauba Abdalla Ali mssada huo umetolewa na Mke wa Balozi Mdogo wa China Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika  nyumba ya watoto mazizini Zanzibar
Mtoto Ruaba Abdallah Ali akitowa neno la shukrani kwa Mke wa Balozi Mdogo wa China Zanzibar kwa msaada wake huo, hafla hiyo imeendaa na upimaji wa Afya za Watoto hao

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.