Habari za Punde

Ratiba ya ziara za MKuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi kusikiliza kero za wananchi


*RATIBA HII YA AWAMU YA KWANZA ITAGUSIA WILAYA YA MAGHARIBI "B" TU*
*______________________________*

*UWANJA WA MPIRA DIMANI*
SAA: 9:00 JIONI
Tarehe 27/11/2017
*KUNDI A* *SHEHIA:-*
1-Fumba
2-Bweleo
3-Dimani
4-Kombeni
5-Nyamanzi
6-Shakani
7-Maungani
8-Kisauni
*_____________________________*
*UWANJA WA TOMONDO MAGEREZA*
SAA: 9:00 JIONI
Tarehe 28/11/2017
*KUNDI B* *SHEHIA:-*
9-Sokoni
10-Mombasa
11-Kwa Mchina
12-Tomondo
13-Chukwani
14-Mbweni
15-Michungwani
16Kiembe Samaki
17-Uzi
*______________________________*
*UWANJA WA PANGAWE*
SAA: 9:00 JIONI
*KUNDI C* *SHEHIA:-*
18-Magogoni
19- Mwanakwerekwe
20Jitimai
21-Mikarafuuni
22-Kinuni
23-Mwembemajogoo
24-Pangawe
25-Mnarani
26-Mombasa
27-Melinne
28Taveta
29-Kijitoupele
30-Uwandani
31-Migombani
32-Kipungani
33-Kibondeni
33-Chunga
*________________________________*
Imetolewa na Afisa Habari,
Mkoa wa Mjini Magharibi
*S.M.A*
*#MIMInaWEWE _TUTAJENGA MKOA WETU_
*_Nyote Mnakaribishwa!.._*

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.