Habari za Punde

Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari Weleni Pemba Wahitimu Mafunzo ya It na Kukabidhiwa Vyeti leo.

Ofisa Mdhamini Wizara ya Elimu na mafunzo ya Amali Pemba, Salum Kitwana Sururu, akimkabidhi cheti cha IT mmoja wa  wanafunzi waliohitimu mafunzo hayo katika Skuli ya Sekondari ya Uweleni Mkoani Pemba.
Ofisa Mdhamini Wizara ya Elimu Pemba, Salum Kitwana Sururu,akizungumza na Walimu na Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Uweleni Pemba, katika mahafali ya kuwazawadia Vyeti wahitimu wa somo la IT ,ambapo Skuli hiyo ni moja ya skuli mbili zinazosomesha Somo hilo kwa Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.