Kikosi cha Taifa cha Zanzibar Heroes iliyoitoa kamasi Kilimanjaro Stars katika Michuano ya Kombe la Chalenji Nchini kenya jana na kutoka na ushindi wa bao 2 - 1,mchezo uliofanyika uwanja wa machakosi Nairobi.
TWENDE TUKAENDELEE KUTEKELEZA MAGEUZI YA ELIMU: PROF. MKENDA.
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda ametoa Wito
kwa Umoja wa Wakuu wa Shule za msingi za ...
3 hours ago


0 Comments