Habari za Punde

Ajali Mbaya ya Gari leo

 Gari aina ya Convoy ya njia ya Makunduchi  ilyogongana na gari aina Dyna ya Jambiani ikiondolewa eneo la ajali iliyotokea mchana wa leo Kikungwi Wilaya ya Kati
 Gari za abiria za Dyna ya Jambiani na Conoy ya Makunduchi zilipogongana uso kwa uso huko Kikungwi inasemekana Gari ya Convoy ilipasuka mpira wa mbele ikiwa katika mwendo wa kasi na kuielekea na kuigonga gari ya Dyna iliyokuwa ikitokea upande mwengine wa njia 

 Baadhi ya majeruhi wakisubiri kupatiwa huduma baada ya kutokea ajali mbaya ya Gari hapo Kikubgwi mchana wa leo
Askari wa Usalama Barabarani akiwa kwenye tukio la ajali kuongoza magarai na kuhakikisha usalama wa watu na magari baada ya kutokea ajali mbaya ya gari huko Kikungwi leo mchana

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.